fbpx

Ongeza Kipato Zaidi

Kuwa Reseller, Uwe Na Uhuru Wa Kiuchumi

Jipatie Zaidi

Kipato

Kuwa Reseller, Uwe na Uhuru Wa Kiuchumi Kwa Mipango Yako Mwenyewe

KAMA TULIVYOONEKANA

ANZA BIASHARA YAKO KUPITIA PROGRAM YETU YA RESELLER

Jiingizie KIPATO Mara MBILI! Fanya Kazi Nyumbani Kwako Au Mahali Popote Na Kwa Muda Wako

JIUNGE SASA BURE BILA MALIPO

Jiunge sasa na upate SMS zenye thamani ya TSH 50,000 BURE

BONGO LIVE TUNAO MAMIA YA RESELLER WANAOFURAHIA HUDUMA HII

MAMIA YA RESELLER WETU TAYARI WANAJIPATIA KIPATO MARA MBILI KUPITIA PROGRAM YETU YA RESELLER.TUNATAKA NAWE PIA UWE MMOJA WAO. JIUNGE SASA UWE HURU KIUCHUMI.

PROGRAM YA RESELLER YA BONGO LIVE NI KWA AJILI YAKO IKIWA …

2-income

Unataka KUJIONGEZEA Kipato Mara Mbili Zaidi

Kama Reseller wa SMS, unaweza kujiongezea kipato mara mbili zaidi ya mshahara wako kulingana na bidii yako. Unaweza kuifanya biashara hii kama ajira yako ya kudumu muda wote au ukaifanya ya ziada ili kujiongezea kipato.

1-champion

Unataka Kuwa MUUZAJI BINGWA

Kutokana na mbinu bora za uuzaji na vipengele safi vinavyowalenga weteja; tutakufundisha na kukupa zana zitakazokufanya uwe muuzaji bingwa. Wateja watafurahia huduma na wewe utajitengenezea kipato.

2-profit

Unataka KUJIONGEZEA Faida Zaidi

Hatutakulazimisha kubaidili au kukupangia bei za vifurushi vya SMS. Utaweza kuuza vifurushi vya SMS kwa bei utakayo wewe. Utakuwa unajipatia faida zaidi haijawahi kutokea.

1-discover

Unataka KUYAFIKIA MASOKO Yenye Faida Kubwa

Reseller Program ya Bongo Live itakupa fursa ya kuuza huduma ya vifurushi vya SMS kwa watu wengi zikiwemo NGOs, taasisi za Elimu, mashirika ya dini, kampuni za FMCG na nyingine nyingi.

2-market

Unataka KUPATA FAIDA Kutoka Soko Linalostawi La SMS

Zipo njia nyingi ambazo biashara zinaweza kutumia ujumbe wa SMS. Ukuaji wa haraka wa umiliki wa simu inamaanisha njia mpya za ubunifu za kutumia SMS kama zana bora ya uuzaji. Hii ni sababu tosha ya wewe kukimbila fursa hii na kukuza bishara yako.

2-brand

Unataka kukuza JINA LA BIASHARA Yako

Program ya Reseller ya Bongo Live itakupatia fursa nyingi zaidi na sio ya uuzaji tu. Kwa kujihusisha na watu mbalimbali, utaweza kujulikana na watu wengi, utajenga uaminifu katika biashara yako na kupelekea biashara yako kukua kitaaluma na kiuchumi.

2-opportunity

Unatafuta FURSA MPYA

Biashara katika kila tasnia inatafuta fursa za ukuaji wa uchumi kila wakati. Unaweza kutumia fursa hii kwa kutoa zana muhimu na kusaidia biashara hizi kukua. Utakusanya mtaji muhimu wa kitaalam wakati unakuza biashara yako mwenyewe ya uuzaji.

UNASUBIRI NINI? SAFARI YAKO YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI INAANZIA HAPA!